HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 26, 2011

ndizi za moshi hizoo..

 Jamaa wakisukuma mikokoteni iliyokuwa imesheheni mikungu ya ndizi kutoka kwenye soko la jumla la ndizi hizo tayari kwa kwenya kuziuza kwa rejareja.
Mama nae akiwa amejitwisha mkungu wake huku akielekea gengeni kwake.

4 comments:

  1. hizo ni kwa ajili ya wenyeji wa hukohuko mtu wa kigoma kagera sumbawanga humlishi ukakasi huo hata kwa mtutu wa bunduki wao wanandizi zao mtu yeyote hazimkinahi

    ReplyDelete
  2. hehereeeeeeeee mitaa ya wapi hiyo, mchare original huo..

    ReplyDelete
  3. hii ndio hali halisi ya maisha ya mtanzani miaka 50 sherehe kibao maneno mengi hakuwezekani kufanywa vitu vya msingi kuwakwamua(au kwasaidia) watu na hali ngumu ya maisha serikali fanya kazi kwa uadilifu

    ReplyDelete
  4. mi napenda mchare wetu wa moshi - ngumu mgumu... kuna ndizi za sehemu flani flani zile ndizi laini laini nikila naharisha..

    ReplyDelete

Post Bottom Ad