ukiwa safarini Kutokea Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Nchi yetu,basi ni lazima upite katika Misutu hii ya Miti iliopo Mufindi Mkoani Iringa.
Nakumbuka longtime tukikaribia kufika katika huo msitu wameweka Ilani kuwa no smoking{usivute fegi].
ReplyDelete