Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki akikabidhi bendera kwa wanariadha wanaoshiriki katika mbio za bendera ya Taifa ambazo ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie Utanzania inayoenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru, wakati akiwaaga Jijini Dar es Salaam jana asubuhi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki akiwaaga wanariadha wanaoshiriki katika mbio za bendera ya Taifa ambazo ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie Utanzania inayoenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Hafla ya kuwaaga ilifanyika Dar es Salaam jana asubuhi.
Baadhi ya wanariadha wanaoshiriki katika Mbio za Bendera ya Taifa za Kili wakiwasili Wilayani Bunda juzi wakitokea Mwanza. Mbio hizi ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie Utanzania ambayo inaenda sambamba na Sherehe za miaka 50 ya Uhuru.
inorder to incourage our players, we could have appreciate you if you make it to be sustainable. inoreder for them to have that spirit and to know that it is their roitine in every few days
ReplyDelete