kaka njoo mwanza katika wilaya ya Ilemela kuna sehemu inaitwa kilimahewa, wangu balabala ni mbovu kichizi then hawaikwangui na pesa za mkeka zilisha tolewa ila ndo ivyo? miaka inapita ni kalenda tu. tibua ilo kaka
nice bro, dodoma yetu inakua kwa kila hali, jameni tupande miti tu na kila mtu atakuja dom kututembelea na kutuachia vijisenti (tourism) believe me the future is dom. Dodoma is beautiful, reli ya kati inapita katikati ya mji, matunda yanapatikana soko la dom msimu wo wote ule , selemani masambusa upo ndugu, charles msuya,massawe, babu george,hussein bwenzi mmekwenda wapi? Msomali wa dom
kaka njoo mwanza katika wilaya ya Ilemela kuna sehemu inaitwa kilimahewa, wangu balabala ni mbovu kichizi then hawaikwangui na pesa za mkeka zilisha tolewa ila ndo ivyo? miaka inapita ni kalenda tu. tibua ilo kaka
ReplyDeletenice bro, dodoma yetu inakua kwa kila hali, jameni tupande miti tu na kila mtu atakuja dom kututembelea na kutuachia vijisenti (tourism) believe me the future is dom. Dodoma is beautiful, reli ya kati inapita katikati ya mji, matunda yanapatikana soko la dom msimu wo wote ule , selemani masambusa upo ndugu, charles msuya,massawe, babu george,hussein bwenzi mmekwenda wapi? Msomali wa dom
ReplyDelete