HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 29, 2011

kampuni ya Songas yakabidhi madarasa mawili ya shule ya msingi Kinyerezi leo

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Ilala,Mh. Jerry Silaa akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa madarasa mawili ya shule ya msingi Kinyerezi yaliyojengwa kwa hisani ya kampuni ya Songas leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Songas bw. Christopher Ford.
Wanafunzi na walimu wa Shule ya msingi Kinyerezi wakifurahia jambo na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Ilala,Mh. Jerry Silaa na Mkurugenzi wa Songas Christopher Ford ndani ya darasa jipya lililojengwa na Songas na kukabidhiwa kwa shule ya msingi leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad