HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 14, 2011

harambee ya kuwaangamiza kunguru weusi

hivyo ukiwaona au ukiona wanakuzingua zingua,waripoti kwa hawa jamaa na wakawafanyia kazi husika.kwa kweli hata mimi nawaunga mkono hawa jamaa wanaowaangamiza hawa kunguru,maana kunguru hawa hawana adabu hata kidogo.yaani hadi wananifanya nianze kuwakumbuka wale wenye tai nyeupe maana walikuwa wapoleeeeee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad