Baiskeli iliyokuwa imepambwa kwa dawa za kuua wadudu ikiwa ikeachwa barabarani na kutojulikana alikoelekea mwenye nayo,pamoja na kwamba barabara hii ilikuwa na foleni kubwa lakini kwa upande mwinyine ilisababishwa na baiskeli hii.sasa sijui ilikuwa imebuma na mwenyewe akaona ni bora aiache hapo ili akamchukue fundi Juma ili aje kuifanyia mambo hapo hapo..??!!
Monday, November 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment