Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza jambo na Mtaalam wa msuala ya biashara na kumbukumbu wa Airtel Tanzania, Ganuel Lulangala wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Airtel katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara yaliyoandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na kufanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa mawasiliano wa ndani wa Airtel Dangio Kaniki akiongea na baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda la Airtel katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara yaliyoandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na kufanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment