HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 2, 2011

tafrija ya hisani ya shear charity ball at Movenpic hotel

Mkurugenzi wa Kampuni ya Shear Illusions na Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi Shear Charity Ball,Shekha Nasser akizungumza wakati wa tafrija ya kuchangisha fedha za hisani ya (Shear Charity Ball 2011) yenye lengo ya kutunisha mfuko na kusaidia akina mama wenye matatizo ya fistula katika hospitali ya CCBRT na pia kuwezesha ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana.hafla hii imefanyika usiku huu katika hoteli ya Movenpic,jijini Dar es Salaam. 
Mgeni Rasmi katika tafrija ya kuchangisha fedha za hisani ya (Shear Charity Ball 2011) yenye lengo ya kutunisha mfuko na kusaidia akina mama wenye matatizo ya fistula katika hospitali ya CCBRT na pia kuwezesha ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana,Dr. Hellen Senkoro akizungumza katika tafrija hiyo usiku huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad