Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao(kulia)akijadiliana jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Samwel Mwakipesile mara alipowasili nchini kwa lengo la kujionea jinsi gani kampuni hiyo inavyoendesha shughuli zake hapa nchini .
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao akisalimiana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara alipowasili nchini hivi karibuni akiwa na lengo la kujionea jinsi Vodacom Tanzania inavyoendesha shughuli zake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao katikati akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa CCBRT Haika Mawala akiongea mara alipotembelea hospitali hiyo akiwa na lengo la kutoa msaada kwa kina mama wanaosumbuliwa na ugonjwa wa festula mara alipowasili nchini hivi karibuni,Kushoto Ofisa Mkuu wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao(kulia)akifafanua jambo kwa baadhi ya wakuu wa idara mbalimbali za Vodacom Tanzania,alipokuja nchini hivi karibuni kujionea jinsi Vodacom Tanzania inavyoendesha shughuli zake,kutoka kushoto Steven Kingu,Nector Foya,Evancy Limo,Philimon Chacha.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa wameshikilia bendera ya Taifa kwenye siku ya Vodacom 50 year Independent day na kumpokea Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao,alipokuja nchini hivi karibuni kujionea jinsi Vodacom Tanzania inavyofanya shughuli zake.
duh! hii ni pombe au gomba inakuaje coca cola iana muhumbua Mtu namna hii au ili ni zenwe tu! atipata kidogo kitu cha mama jofrey kwa nyuma pale alafu kashushia na mziki wa coca, lakini sio ishu Mungu atunusuru maana naona zile zama za mwisho ndo zime fikia???
ReplyDelete