Kina mama wanaojishughulisha na kuomba omba mabarabarani wakifanya mgao wa hela zilizopatikana kutoka kwa watoto wao wanaowatuka kuganya shughuli hiyo kwenye magari yanayokuwa yamesimama kwenye mataa ya kuongozea magari.
No comments:
Post a Comment