Kijitonyama Maeneo ya Sayansi.
Kinondoni Studio.
Maeneo ya Barabara Morogoro Rodi na Mtaa wa Jamhuri Street.
Maeneo ya Stesheni.
Maeneo ya Mwananyamala B.
Kiota cha Wakata Umeme Kinavyoonekana kwa mbaaali kule,maeneo ya Stesheni.
Mtaa wa Mosqow karibu na Msikiti wa Hibaadh.
Vikwangua anga vilivyopendezesha Barabara ya Morogoro Rodi katikati ya jiji.
Barabara ya Bibi Titi.
Barabara ya Sokoine Drive.
babu katika siku zote hizo picha za mitaa ya mwananyamala umenirkumbusha home big time, mdau texas
ReplyDeleteSerikai peleka huduma zote muhimu kila eneo kupunguza msongamano mahali pamoja na kuokowa muda, mtu akafanye kazi kujenga taifa badala kushindia kutwa nzima shughuli moja na kusababisha rushwa
ReplyDelete