Bi Harusi Mtarajiwa,Lucille Damas Kombani akiwa katika tabasamu zito usiku huu wakati wa sherehe yake ya kuagwa na wazazi wake (Send Off) inayofanyika katika ukumbi wa Magadu,maeneo wa SUA,mjini Morogoro usiku huu.
Bi. Lucille Damas Kombani akiwa na Matron wake usiku huu.
Lucille Damas Kombani akikata keki.
Matron akimlisha kipande cha keki Bi. Harusi mtarajiwa Luicille Damas Kombani
Wazazi wa Bi. Harusi wakiwa katika utambulisho wa ndugu mbali mbali waliohudhuria hafla hiyo.
Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani (kushoto) akiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Mh. Hawa Ghasia.
keki ya Samaki
Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani akiongozana na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein wakimpongeza kijana wao usiku huu katika ukumbi wa Magadu,uliopo Mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akitoka kumpongeza Bi. Lucille.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera nae akitoka kutoa pongezi zake.
heee jamani mmenikumbusha kwetu magadu lol!!
ReplyDeleteHongera sana Lucille kumbe wee wa kwetu ku-mlogolo!!!