Hii ndio shida ya kwenda kwa mahali ukitegeme mwenyeji wako yupo,kumbe alishahama siku nyingi eneo hilo.yaani hapa nimeranda kweli kwenye mitaa ya mji kasoro bahari kumtafuta mwenyeji wangu.yaani hata sijui nifanyeje maana hata nauli niliyokuwa nayo ilikuwa ni ya kujia tu huku na sina nyingine ya kurudia.sasa sijui nifanyeje??
Friday, September 30, 2011

Home
Unlabelled
yaliyomkuta Mzee wa Mtaa kwa Mtaa mji kasoro bahari
yaliyomkuta Mzee wa Mtaa kwa Mtaa mji kasoro bahari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment