Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa imewanasa Watoto hawa maeneo ya Kihalaka,Bagamoyo wakitoka kuteka maji kwenye kisima kilichopo mbali kidogo na makazi yao.hii ni kutokana na uhaba wa upatikanaji wa Maji katika maeneo hayo.
Wednesday, August 31, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment