Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika malumbano na Dereva wa gari waliekuwa wamemkamata katika maeneo ya Sayansi Kijitonyama,jijini Dar wakati wakiendelea na utaratibu wao wa ukaguzi wa magari mbali mbali jijini.
Ukaguzi ukiendelea maeneo ya njia panda ya Kawe.
No comments:
Post a Comment