HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 31, 2011

Video ya onyesho la Ras Nas pamoja na Vumbi, Oslo, Norway

Video ya Ras Nas pamoja na Dekula "Vumbi" Kahanga kwenye tamasha la Mela lililofanyika Oslo, Norway 29 Julai. Ilikuwa kivumbi na jasho. Kikosi cha Ras Nas kilijumuisha wanamuziki kutoka mataifa mbali mbali kama vile DRC, Congo Brazzaville, Ivory Coast, Sudan, Uganda, Norway na Australia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad