HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 31, 2011

Rais Kikwete shiriki swala ya Iddi katika msikiti wa Kichangani,Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimu waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa Iddi baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad