Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF Bw. Best Ntukamazina akikabidhi baadhi ya zawadi kwa mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Khadija Hassan huku akishuhudiwa na Afisa mwandamizi wa uendeshaji wa Mfuko Bi Salma Mtaullah.
Meneja Masoko Bw. Best Ntukamazina akisaidiana na wafanyakazi wa Mfuko wa GEPF kuhakikisha kila mtoto anapata futari ya kutosha.
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wapatao 80 wakiendelea na kuburudika na futari iliyoandaliwa na Mfuko wa GEPF.
No comments:
Post a Comment