HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 5, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MBUNGE WA WAWI HAMAD RASHI, MJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Hamad Rashid, wakati walipokutana nyumbani kwa Makamu mjini Dodoma hivi karibuni. Katikati ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad