Hapa ni sehemu ya hifadhi ya Wanyama pori ya Selous iliyopo katika Kijiji cha Maguruwe,Wilayani Kilwa,Mkoani Lindi ambapo katika eneo hili kuna makazi ya wafanyakazi na wasimamizi wa hifadhi hiyo.nilifanikiwa kupita hapa na bado niko katika safari ndefu ya ziara yangu katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Wednesday, August 24, 2011

Home
Unlabelled
Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ndani ya mkoa wa Lindi
Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ndani ya mkoa wa Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment