HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 29, 2011

watembeleaji katika banda la mgunduzi wa Tanzanite

Moja ya kivutio kilichokuwepo katika maonesho yanayoendelea ya  Wizara ya Nishati na Madini ni ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite kama anavyonekana
Wananchi  katika maonesho ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo  ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite umekuwa kivutio kikubwa kama anavyonekana
Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma (kati) akiwa na maafisa wa  GST , baada ya majadiliano mafupi. Picha na Samwel .Mtuwa. 
Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite  mwaka 1984 ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule .Kwa maelezo juu ya mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile : +255 754 93 24 21 na email: mtuwasamwel@hotmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad