HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2011

VODACOM MISS VYUO VIKUU

Vodacom Miss vyuo vikuu Glori Loli, akiwa na washindi wenzake Estol Gerald (kushoto) na Wema Mwanga, mshindi wa tatu.
Warembo tano bora katika Shindano la vodacom miss vyuo vikuu.
Mgeni rasmi katika Shindano hilo Mbunge wa Mchinga, Said Mtanda, akimkabidha kitita cha zawadi cha laki 7 fedha taslimu mshindi wa tatu katika shindano hilo.
Washiriki wa Vodacom miss vyuo vikuu wakipozi kwenye picha baada ya kumaliza kuonyesha mavazi mbalimbali katika shindanohilo, hapa wakisubili tano bora.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad