HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2011

Mechi ya Yanga na Simba uwanja wa Taifa


 Mwali wa Kagame - Castle akiwa katulia kusubiria kwa kwenda leo hii.
 Kikosi cha Yanga.
 Kikosi cha Simba.
 Bendi ya Jeshi la Polisi ikiwa tayari kwa Wimbo wa Taifa kabla ya pambano la watani wa jadi kuanza katika uwanja wa Taifa muda huu.
 Kocha wa timu ya Yanga,Sam Timbe (kushoto) akisalimiana na Kocha wa timu ya Simba Moses Basena kabla ya mpambano wa fainali za Mashindano ya Kagame - Castle cup kuanza jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.
 Mshambuliaji wa timu ya Simba,Mussa Hassan "Mgosi" akichuana vikali na beki wa timu ya Yanga Oscer Joshua katika mchezo wa fainali za Mashindano ya Kagame - Castle Cup 2011 unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa wa jijini Dar.kipindi cha pili cha mchezo kimeanza muda mfupi uliopita na hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake mpaka sasa.
 Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Kiiza akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Simba,Nassor Cholo katika mchezo wa fainali unaoendelea hivi sasa.
 Beki wa timu ya Simba,Salum Kanoni akitaka kumtoka kiungo wa katikati wa timu ya Yanga,Nurdin Bakari.
 Nyanda wa Yanga,Yaw Berko akiokoa moja ya hatari zilizokuwa zikielekea langoni kwake.
Mashabiki wa Yanga na Simba wakizishangilia timu zao.

4 comments:

  1. kwa kweli inapendeza sana ni kijani na nyekundu uwanja mzima kweli simba na yanga hazina mpinzani

    ReplyDelete
  2. mpira ulikuwa safi wote wanastahili pongeza kwenye ushindani lazima kuwe na mshindi ni YANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. MIMI HUWA SIIPENDI SIMBA NA YANGA KABISA LAKIN KWA STAILI HII SISI WENYE TIMU ZISIZOKUWA NA MASHABIKI TUTAFIKA KWELI

    ReplyDelete
  4. HIZI AIBU NYINGINE TUZITUPIE KWANANI KUZIMIKA UMEME UWANJA MKUBWA KM ULE WA KULAUMIWA NANI TANESCO AU SERIKALI YETU? JE INGETOKEA MPIRA NDIO HAJAISHA TIMU ZENYEWE NI YANGA NA SIMBA NINI KINGETOKEA SI MAUWAJI TU

    ReplyDelete

Post Bottom Ad