HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 16, 2011

mashindano ya safari lager pool mkoa wa kimichezo wa kinondoni

 Mchezaji wa Klabu ya Madrid ya Kinondoni,Fred Jacob akijiandaa kupiga mpira ikiwa ni hatua ya robo fainali ya mashindano ya Safari Lager Pool mkoa wa kimichezo wa Kinondoni jijini Dar.
 Mchezaji wa Klabu ya Meeda,Karim Abdul ambaye katika mchezo huu aliweza kumtoa mpinzani wake Fred Jacob na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.mashindano haya yanaendelea kufanyika kwenye Bar ya Meeda iliopo Sinza jijini Dar.
 Mchezaji wa Klabu ya Mkwajuni,Ayoub Daniel akifanya vitu vyake katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Safari Lager Pool mkoa wa kimichezo wa Kinondoni,jijini Dar.
 Mohamed Idd wa 4way klabu akiendelea na mchezo wake.
 Ayoub Daniel wa Klabu ya Mkwajuni,Kinondoni akipongezwa na mashabiki wake baada ya kumalizika kwa mchezo wake dhidi ya Mohamed Idd wa klabu ya 4ways na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.
Michezo ikiendekea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad