HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 15, 2011

DKT BILAL AKUTANA NA RAIS WA MFUKO WA KUWAIT UKANDA WA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed harib Bilal, akisalimiana na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanyanaye mazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanya naye mazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed.
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad