Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Ally Shaaban akiwatoka walinzi wa Alphonce Mathias (kulia) na Shukuru Mbaraka , wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars, uliofanyika uwanja wa Karume, Dar es Salaam
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Msongola, Amos Juma (kushoto), akikabiliana na beki wa Jitegemee, Alphonce Mathias wakati wa mchezo wa nusu fainali wa ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 17 kwa shule za sekondari ya Airtel Rising Stars
No comments:
Post a Comment