Kilichotokea hapa ni kwamba,hiyo pikipiki inayoonekana hapo mbele ilikuwa ikiingia barabara kubwa kizembe huku hizi gari zikiwa katika spidi kali na ndipo gari ya mbele ikasimama ghafla na zingine nazo zikaja kusimama ghafla kwa nyuma na kufanikisha kuunganisha hizi behewa.hii kitu imetokea maeneo ya magomeni mapipa kuelekea jangwani jijini Dar.
Mashuhuda wakiangalia tukio hilo ambalo sio la ajabu sana katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar.



No comments:
Post a Comment