HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 5, 2011

WASHINDI WA KILI MUSIC AWARDS WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA JIJINI MBEYA LEO

Msanii GodZila akipanda jukwaani huku akishangiliwa na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011,kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Msanii Mwasiti Almasi akicheza muziki wake na mmoja wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye ni kinara wa mashindano ya Tuzo ya Kilimanjaro ya Mwanamuzki Bora wa Tanzania 2011, 20 Percent akionesha umahiri wake wakati wanamuziki bora wa tuzo hiyo walipokuwa wakifanya shoo ya kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo AMBAYO IMEDHAMINIWA NA Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Msanii JCB akiuteka umata wa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiwa wamepagawa wakati Msanii God Zila akimwaga misitariwakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011,kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.

1 comment:

  1. KUNAMLIPUKO UMETOKE KWA JIRANI KENYA (NAIROBI) HEBU TUPE HABARI ZAIDI MICHUZI.. AU TEMBELEA
    www.wavuti.com

    ReplyDelete

Post Bottom Ad