HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 4, 2011

VODACOM YAIAGA HOLLY FAMILY LEO

Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude akiwaaga wachezaji wa timu ya Holy Family ya mkoa wa Ruvuma waliokuwa wakielekea Zanzibar kwenye mashinda ya Muungano Cup ambapo watapambana na mshindi wa Zanzibar kesho,kushoto Mratibu wa shindano hilo Daud Yassin.
Mmoja wa wacheza wa timu ya Holy Family ya Mkoa wa Ruvuma akijaribu kuonyesha umahiri wake wa kumili mpira mbele ya Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude na Mratibu wa shindano la Muungano mara baada ya kukabidhiwa mipira kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya timu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad