HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 3, 2011

VITUMBUA

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliwanasa vijana hawa maeneo ya kariakoo wakijishughulisha na biashara ya upishi wa vitumbua kama waonekanavyo katika picha hii.

1 comment:

  1. Yaani mi napenda sana vitumbua hasa vya uswazi kama hivyo huwa ni vitamu sana cjui wanawekaga nini?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad