HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 8, 2011

MWAKILISHI WETU NDANI YA JUMBA LA BIGI BRAZA,DADA BHOKE ALIVYOTUWAKILISHA VYEMA HUMO MJENGONI


13 comments:

  1. Amewakilisha walio wakilishwa kwa kazi zao za kuakilisha vizuri sanan hahahahaha

    ReplyDelete
  2. Wameshamchakachua na Airport watampokea kwa maua.Bongo ilivyo tambarare na mwakani watampeleka mwengine akatuwakilishe vizuri zaidi. hongera Ernest kwa kupiga bao mbili za haraka haraka ni aibu tosha kwa Bhoke na familia yake.
    mdau Zee la Bandari.

    ReplyDelete
  3. usoni anaonyesha ka mgonjwa vile, mahojiano na waandishi kasema ye alijiwakilisha mwenyewe hakuwakilisha TZ, SHAME ON HER, aulizwe hili swali mbwa hafanyi uzinzi mbele ya kadamnasi yeye binadamu aliejiwakilisha kama anavyosema ina maana aweza vua nguo na kutembea uchi hapo dar au aweza fanya uzinzi mbele ya bosi wake kwa kuwa anajiwakilisha mwenyewe, aseme asiseme aibu imemjaa

    ReplyDelete
  4. mnachukua macahangudoa kutuwakilisha oneni sasa

    ReplyDelete
  5. jamani hata kma ni nyege za bhoke sijawahi kuziona kajiabisha yeye pamoja na familia yake hafai hata chepe

    ReplyDelete
  6. hana haya wala hajui vibaya huyo nani ampigie kura m2 km huyo hata angekuwa mwenda wazimu asingepiga kura yake huyooooo anaona haya alitafuta umaarfu kupitia kwenye ngono kaangukia pabaya kaishiwa kuchezewa hana alichopata mpumbavu tu

    ReplyDelete
  7. MI NAONA WANAWAKE HAWAFAI KABISA BIG BROTHER, KWAHIYO HUYO MALAYA BHOKE NAYE ANATAFUTA MCHUMBA MWEZAKE HAKUMPATA KWA STAILI HIYO ALIYOIFANYA YEYE NI AIBU TENA AIBU ISIYOKUWA NA KIFANI KWA FAMILY YAKE

    ReplyDelete
  8. KUDADADEKI BHOKE WAMEKUSHITUKIA NDIO MANA WAKAKUTOA NA MAPEMA ULIENDA KUFANYA BIASHARA YA NGONO KULE

    ReplyDelete
  9. ndio mana lotus alimchangua atoke, manake alimuona kwa staili yake ya kulilia mapenzi kwa kila mwanaume ingemtia aibu hata yeye

    ReplyDelete
  10. Naombeni waandaaji wa big b kabla ya kumpeleka mtu wawe wanamchunguza tabia yake kwanza. Naamini Tanzania yetu inawasichana wazuri na wenye Tabia nzuri,maadili mema na wanaoweza kutuwakilisha vizuriiiii katika nchi za watu.

    ReplyDelete
  11. Hii ni noma sana. Watanzania tumeng'ang'ani kupeleka ma celebrity instead ya kuwapa nafasi watu wengine ambao wangetuwakilisha vizuri katika michezo kama hii kwenye nchi za Watu. Fuck the people wanaonchagua hawa Ma k. This ain't good kabisa.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad