HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 8, 2011

MATUKIO YA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Aggrey Mwanri wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama(kushoto) wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma
Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Aggrey Mwanri akijibu maswali mbalimbali ya wabunge jana Bungeni mjini Dodma wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria,Celina Kombani (kushoto) akibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge la Tanzania na Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini,David Kafulila (kulia) wakati wa mapumziko ya kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha ,Gregory Teu (kulia) akibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za Mitaa, Augustino Mrema (katikati) na Mbunge wa jimbo la Korogwe vijijini,Stephen Ngonyani (kushoto) wakati wa mapumziko ya kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad