HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 4, 2011

Mwajabu Juma awa Vodacom Miss Kurasini 2011

Vodacom Miss Kurasini Mwajabu Juma akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi ,kushoto mshindi wa pili Naifat Ally na mshindi wa tatu kulia Prisca Steven.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akimkabidhi mshindi wa Vodacom miss kurasini Mwajabu Juma kiasi cha fedha taslimu cha shilingi 500,000,shindano hilo lilifanyika Jijini Dares Salaam.
Warembo tano bora waliofanyikiwa kuingia katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss kurasini ambapo Mwajabu Juma(9)ndiye alienyakua taji hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad