HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 12, 2011

MSIBA MINNESOTA

  Marehemu Mama Aurelia Kinyaiya   

Ndugu, Jamaa na Marafiki,

Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwaatarifu ya kuwa mama Aurelia Kinyaiya, amefariki dunia leo Jumamosi [June 11th 2011] Memorial Hospital,Minneapolis Minnesota. Marehemu ni mama mzazi wa Elifaa na David Kinyaiya waishio Minnesota, na Alekunda Mmari aishiye Washington D.C.

Makadirio ya gharama za kusafirisha mwili pamoja na watakaosindikiza kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi ni $25,000.

Kama ilivyo desturi yetu, tunaombwa kuungana na familia ya Kinyaiya katika kukamilisha mipango ya kusafirisha mwili.

Unaweza kutuma mchango wako kwa njia zifuatazo;
1: WellsFargo Bank Wire transfer: Route # 530000509, Ac # 3165545314, Jina: Elifaa Kinyaiya au David Kinyaiya.

2.Western Union & MoneyGram : Zote zitumwe kwa:Neville Lema [612-964-4218].
3.Hundi (cheki) kwa: Elifaa Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.
Maandalizi ya kusafirisha mwili yanaendelea nyumbani kwa Elifaa & David Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.

Unaweza kuwasiliana na wafiwa kwa namba zifuatazo:
Elifaa:641-583-1189 ,
David 952-215-1116,
Alekunda 202-375-3847.
Lilian Maina 612-669-2782
Kwa taarifa zaidi, wasiliana na;
Honest Tesha:651-343-3209,
Riwa 952-457-0599,
Mollel 651-334-0163,
Denis Shengena 952-992-9489,
Erick Lemunge 651-398-1861.
Flaviana Tesha 651 329 4521
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Libarikiwe.
Akhsante,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad