HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 8, 2011

MATAMASHA YA “EXCEL WITH GRAND MALT” – DAR ES SALAAM & IRINGA

Baada ya wanavyuo kuwapigia kura wale wanaowachagua kunyakua tuzo za Excel with Grand Malt mwaka huu.. Sasa ni muda wa kukabidhi tuzo!!

Njoo ushuhudie wanavyuo wakinyakua tuzo za Excel with Grand Malt katika fani za; Ubunifu, Michezo, Mazingira, Utamaduni na Burudani.

Tamasha la Excel with Grand Malt Dar es Salaam litafanyika Jumamosi hii tarehe 11 June 2011 kwenye viwanja vya TCC Club Chang”ombe.

Tamasha la Excel with Grand Malt Iringa litafanyika Jumapili hii tarehe 12 June 2011 kwenye viwanja vya Mkwawa University.

Matamasha yote yataanza saa nne asubuhi, kutakuwa na michezo na zawadi mbalimbali za Grand Malt, na katika kusherehesha matamasha haya watakuwepo Temba, Chege na Wanaume TMK! Joh Makini na Chid Bebz.

Hakuna kiingilio na wote mnakaribishwa sana.

Ni muda wa wanavyuo wote kuhudhuria na kufurahia kwa pamoja –Ndio Bwana sote kwa pamoja tujumuike kwenye hili bonge la Tamasha

Usafiri utakuwepo vyuoni na kuwarudisha baada ya Tamasha.
Grand Malt…… Ni Zaidi ya Kimea ni Grand Malt!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad