HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 13, 2011

LIBENEKE LA KANDANDA LAANZA NA FORUM SASA

Habari za Asubuhi,
Kwa mara nyingine tena naomba msaada wenu..picha niliyoiweka iendane na maelezo chini hapa na link yake.

let's meet here for what's happening off and on the pitch
Jiunge tuongee lugha moja tu! lakini makabila mbali mbali!

Tovuti ina wachezaji wote 11 na wa akiba pia wapo.(Habari(Captain), Wasifu, Mijadala, Maoni, Picha, Matukio, Matokeo, Ratiba, Uchambuzi, Timu na Misimamo) Kocha ni Kandanda. Watazamaji ni wewe..na kiingilio ni computer au simu yako...usafiri kufika ni Internet tuuuu!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad