HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 7, 2011

IFM WATUA DAR NA UBINGWA WAO KATIKA MASHINDANO YA SAFARI LAGER POOL 2011

Mabingwa wapya wa mchenzo wa Pool katika Mashindano ya Safari Lager kwa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini,Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakishangilia na kombe lao ndani ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani,Ubungo pindi walipowasili jijini Dar jioni ya leo wakitokea mkoani Dodoma kulikofanyika fainali za Mashindano hayo.
Wachezaji wa Pool wa Timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ambao ndio mabingwa wapya wa Safari High Leaning Pool Compatition yaliyomalizika jana huko mkoani Dodoma,wakilakiwa na wenzao waliokuwepo stendi ya mabasi,Ubungo kwa ajili ya kuwapokea mabingwa hao waliowasili na basi la Shabiby jioni ya leo.
Msafara wa kuelekea Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ukiendelea taratiibuuuu......!
Wachezaji wakilakiwa na wenzao.
Msafara ukikatiza mitaa ya Manzese jijini Dar jioni ya leo.
Burudani ya hapa na pale ilitawala katika stendi ya Ubungo jioni ya leo.
Shauku ya kulipokea Kombe la Ubingwa ikwa ni kwa kila mwana IFM aliefika Ubungo jioni ya leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad