HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 23, 2011

Masanja Mkandamizaji

Siku moja nikiwa katika misele yangu ya Mtaa Kwa Mtaa,nilibahatika kukutana na Supa Staa wa Orijino Komedi,afahamikae kwa jina la Masanja Mkandamizaji ambaye kwa sasa nae amejiunga katika swala zima la kuendeleza Libeneke kupitia wanja lake hili hapa.hebu mtembelee uone mambo yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad