HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 28, 2011

MAONI YAKO KUHUSU TIBA YA BABU LOLIONDO

Habari Bro Othman
Tunaomba utuwekee bandiko letu kwenye blog ya jamii tupate maoni ya jamii kuhusu suala la Loliondo, baadae zoezi likiisha nitakutumia majibu
utundike nafikiri itakua vizuri sana tukipata maoni ya raia. Bandiko hilo hapo chini uliambatanishe na hiyo link chini yake kwani ndio maswali yapo hapo. Natanguliza shukrani
Jimmy,
Bongo Promotions.

BANDIKO
.........................................................................................................

MAONI YAKO KUHUSU TIBA YA BABU LOLIONDO

Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi vimekua vikiandika habari juu ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijijini Semunge huko Loliondo pamoja na dawa anayoendelea kutoa kwa maelfu ya wananchi wenye matatizo mbali mbali.

Tungependa kufaham maoni yako binafsi juu ya suala hili kwa kujibu maswali machache kwenye survey inayopatikana kwa ”ku-click” link hapo chini. Inachukua dakika chache kujibu maswali na hatuhitaji kufaham jina lako. 

 Matokeo ya takwimu yatatangazwa hapa siku chache zijazo Ahsante.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad