HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 31, 2011

Makamu wa Rais asaini kitabu cha Kumbukumbu Ubalozi wa Japan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Hiroshi Nakagawa wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya Ubalozi wa Japan Upanga jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kusaini kitabu cha kumbukumbu kutokana na maafa makubwa yaliyotokana na Sunami Nchini Japan hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia maafa makubwa yaliyotokana na Sunami Nchini Japan hivi karibuni, wakati alipokwenda katika Ofisi za Ubalozi huo Upanga jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad