HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 28, 2011

hivi huu utaratibu wa uchimbaji wa mashimo humu mjini umekaaje??

Maana kadri siku zinavyozidi kwenda na ndivyo hali ya uchimbaji wa mashimo unavyoshika kasi katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar,hivi ni utaratibu gani unaoendelea jamani?? kwa wenye data za kueleweka naombeni tuwekane wazi katika hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad