Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Bw. Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Kujadili Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran.Tanzania ni Miongoni mwa Nchi zinazotekeleza Mkataba wa Ramsa.(Picha na Ali Meja)
Monday, February 28, 2011

Home
Unlabelled
Waziri wa Huviza akutana na Balozi Ghomi wa Iran nchini leo
Waziri wa Huviza akutana na Balozi Ghomi wa Iran nchini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment