HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 23, 2011

wabunge wa Afrika Mashariki watembelea Kampuni ya Zantel

Align CenterWabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kamati inayoshughulikia Biashara na Uwekezaji wakiwa nje ya majengo ya Makao Makuu ya Kampuni ya Simu ya Zantel jiji Dar kujua jinsi Kampuni hiyo inavyofanya shughuli zake hapa nchini.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel Zanzibar, Bw. Nahaat Mahfoudh akizungumza wakati wa Kamati ya Bunge la Afrika Mashariki inaloshughulikia Biashara na Uwekezaji ilipotembelea Makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es salaam kujua shughuli mbalimbali za Kampuni hiyo.
Meneja wa Kampuni ya Zantel kitengo cha Eassy Cable,Bw. Santosh Kumar akiwapa maelekezo Wabunge wa Afrika Mashariki Kamati ya Biashara na Uwekezaji wakati walipotembelea mitambo ya Kampuni hiyo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad