HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 18, 2011

konyagi kusafisha fukwe ya bahari ya hindi

Meneja Mauzo wa Kanda Kampuni ya Konyagi Bw. Narcius Ngaillo akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo ambapo wamedhamini kusafishwa kwa mazingira ya fukwe Bahari ya Hindi itakayofanyika kesho na Mgeni rasmi ni Mstahiki Meya wa Jiji Bw. Didasi Masabuli.
Ofisa Utalii wa Jiji la Dar es salaam Bi.Neema Kinyagu akizungumza akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa utambulisho wao wa ufanyaji usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi utakaofanyika kesho katika fukwe hiyo.
Baadhi ya vibarua wa Mamlaka ya Bandari Tanzania 'TPA' wakifanya usafi pembezoni mwa ufukwe wa Bahari ya Hindi jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad