HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 22, 2011

kamera ya mtaa kwa mtaa ndani ya jiji la tanga


6 comments:

  1. Asante sana kwa picha za Tanga kunani. Unanikumbusha tu baiskeli za mafungu za kumwaga Tanga. Huwa nikifika Tanga, nacheka sana kuhusu baiskeli.

    Kila lakheri kwa yote mkuu...huko Tanga.

    ReplyDelete
  2. Home sweet home ahsante kwa picha za nyumbani

    ReplyDelete
  3. wajipatia jiblauli la maziwa,na una jibisu wajilia mijiembe na mijidafu na mijichungwa. na usiku wenda jichana mijichipsi na mijikuku. TANGA KUNANI!!!! mdau Leicester.

    ReplyDelete
  4. Ahsante kaka kwa picha za Tanga...nimekumbuka nyumbani...baiskeli ndio usafiri mkuu tanga (saving the environment)...na ukifananisha usafi wa Tanga na Dar es Salaam utaona tofauti ni kubwa kwamba Tanga ni kusafi sana..

    ReplyDelete
  5. Hapo Tanga mji unaonekana ni msafi kwa kweli, sijawahi fika Tanga mjini, na nadhani si mji mkubwa lakini msafi na watu wanaonekana wala si wengi,ukilinganisha na jij la Dar eas salaam limesheheni karibia WATANZANIA wote, bara na visiwani, population ndogo nayo inachangia kwa mji kuwa msafi nadhani.

    ReplyDelete
  6. Wakuu,
    Baiskeli kweli bado zipo ila kwa sasa "Boda-boda" za pikipiki hasa brand ya "WATCO" ndio nyingi sana! Mukubwa umesahau kupata picha za hizo pikipiki za usafiri wa haraka! kama kuna mtu anayo moja aitundike hapa!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad