
Hii ndio timu nzima ya Mjomba Band ambayo kwa sasa iko tayari kwa kuanza show zake kila siku ya Alhamis pale katika kiota cha Mzalendo Pub,Millenium Tower. Njoo alhamisi hii na alhamisi zoote uone kikosi kazi cha MJOMBA BAND kikiongozwa na Mjomba Mrisho Mpoto.Kiingilio ni Buku tano tu (Tsh 5,000 tu).
Nyoote Mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment