
Kipleft ya Michenzani ilavyoonekana leo.

Chai Maharage ikilala na zote katika kipleft ya Michenzani leo.

Watoto wa Kinzanzibar wakiwa wamekaa barazani katika moja ya mitaa ya Mji Mkongwe leo.

Hii ndio Vespa niliyokuwa nikiitukia kupiga misele yote ya mitaa ya Zanzibar ikiwa ni katika kuendeleza libeneke.

Mitaa ya Michenzani.

Mtaa wa Mtendeni ukiwa bize kwa biashara.

Mitaa ya Darajani.
No comments:
Post a Comment