HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 1, 2011

Mini ZIFF yatia fora Zanzibar,THT wafanya makubwa

big screen ya Ziff Mini Festival.
Msanii wa Kizazi kipya,Mwasiti Almas akiwa amekumbatiwa na shabiki alievutiwa na moja ya nyimbo zake usiku wa kuamkia leo ndani ya viwanja vya ngome kongwe,visiwani Zanzibar.
Barnaba na Linah wakipagawisha na kitu chao cha Wrong Number katika viwanja vya ngome kongwe,visiwani Zanzibar usiku wa kuamkia leo.
Dogo Dito akiwakilisha na ngoma yake Wapo inayotamba sasa.
Mwasiti na Chid wa Zenjy wakiwakilisha ipasavyo.
Mkali wa kuigiza sauti za wanamuziki mbali mbali wa kibongo anaefahamika kwa jina la Bekka akiondoka na ngoma yake ya Natumaini Remix.
Huyu dogo alitisha kwa kukirudi Kiduku.
R. Tonny akiwakilisha ipasavyo.
Pipi nae hakuwa nyuma kutoa maumivu yake ya mapenzi wa washabiki wake wa Zenjy waliofurika kwa wingi ndani ya viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar usiku wakuamkia leo.
Madansa wa T.H.T wakiingia kwa staili hii.
Nash Design kutoka pande za T.H.T akienda sambamba na dogo aliepanda jukwaani kukisakata Kuduku staili ya kucheza inayotesa kwa sasa hapa nchini.
Msanii wa kizazi kipya,Linex akikamua vilivyo katika shoo ya ufunguzi wa Tamasha Dogo la ZIFF linaloendelea kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe,visiwani Zanzibar.
Amini na Mataluma wakiwakilisha ipasavyo katika tamasha dogo la ZIFF,visiwani Zanzibar.
Mmoja wa Madansa wa T.H.T akiwa ameruka juu huku akiwa ameshikilia mwamvuli huku wengine wakifuatilia mosheni.
Barnaba akiwapa vitu roho inataka wakazi wa Zanzibar waliofika kwa wingi ndani ya viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar.
Marlow akikirudi Kiduku huku mashabiki wakishangilia kwa wingi.
Linah nae aliliangusha sebene la kufa mtu.
Dogo Dito akipagawiwa wakati kwa kukaribisha mwaka mpya wa 2011.
Mkurugenzi wa ZIFF,Prof. Martin Mhando akifuatilia kwa makini tamasha hilo huko akiwa na wadau wengine.
Meneja wa ZIFF Daniel Nyarusi,akisikiliza mawili matatu toka kwa DJ huku wakifuatilia shoo hiyo.
Shamra Shamra za kukaribisha mwaka mpya wa 2011.
Wanahabari wakidiskasi mawili matatu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad