HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 5, 2011

Heri ya sikukuu ya kuzaliwa Mdau Haki Ngowi

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mdau mkubwa katika maswala ya KuBlog na muendesha libeneke wa siku nyingi,Bw. Haki Ngowi (pichani).Blog ya MTAA KWA MTAA inamtakia maisha marefu na muendelezo mzuri wa kulisongesha libeneke hili kufika mbali zaidi na zaidi.

HERI YA SIKUKUU YA KUZALIWA KAKA HAKI NGOWI.

waweza fikisha salamu zako za besdei kwa
kubofwa

1 comment:

Post Bottom Ad